Sydney Kumalo (1935-1988) alikuwa msanii na mchongaji wa nchini Afrika Kusini. [1] Alijulikana zaidi kwa kazi yake ya ufua vyuma na utengenezaji wa sanamu za chuma. .

Maisha ya awali hariri

Kumalo alizaliwa mnamo mwaka 1935 huko Sophiatown, Johannesburg na kukulia katika familia ya Wazulu . [1]

Marejeo hariri

  1. 1.0 1.1 Jager, EJ (1992). "Art: Sydney Kumalo (1935-1988)". Africa Insight 22 (1). Iliwekwa mnamo 14 November 2021.  Check date values in: |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sydney Kumalo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.