Sylvia Caloiaro

Muogeleaji wa Tanzania


Sylvia Caloiaro (alizaliwa 14 Machi 2001) [1] ni muogeleaji wa Kitanzania.

Sylvia Caloiaro
Amezaliwa 14 Machi 2001
Tanzania
Nchi Tanzania
Kazi yake Muogeleaji

Mnamo mwaka 2019, aliiwakilisha Tanzania kwenye Mashindano ya Dunia ya majini ya 2019 yaliyofanyika Gwangju, Korea Kusini. Alishiriki katika mashindano ya wanawake ya mita 50 ya freestyle]]. [2] Hakusonga mbele kushindana katika nusu fainali. [2] Pia alishiriki katika mbio za mita 50 za breaststroke kwa wanawake na katika hafla hii pia hakufuzu kushiriki nusu fainali. [3]

Marejeo

hariri
  1. "Entry list" (PDF). 2019 World Aquatics Championships. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 26 Julai 2020. Iliwekwa mnamo 26 Julai 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. 2.0 2.1 "Women's 50 metre freestyle – Heats" (PDF). 2019 World Aquatics Championships. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 26 Julai 2020. Iliwekwa mnamo 26 Julai 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Women's 50 metre breaststroke – Heats" (PDF). 2019 World Aquatics Championships. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 26 Julai 2020. Iliwekwa mnamo 26 Julai 2020. {{cite web}}: |archive-date= / |archive-url= timestamp mismatch; 19 Agosti 2019 suggested (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sylvia Caloiaro kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.