Taiaro ni kisiwa cha Polinesia ya Kifaransa ndani ya funguvisiwa ya Tuamotu. Kiko upande wa kaskazini-mashariki wa kisiwa cha Kauehi. Eneo la kisiwa ni 6 km². Mwaka wa 2012, idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa wanne tu. Watu wakaao kisiwani kwa Taiaro huongea Kituamotu na Kitahiti.

Kisiwa cha Taiaro
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.