Taifa (kipakatalishi)

Taifa ni kipakatalishi kinachoundwa na chuo kikuu cha JKUAT[1] kwenye Kiwanda cha Teknologia cha Nairobi.

Kilianza kuundwa mwaka wa 2013 kutokana na tarajio la Serikali ya Kenya kumpa kila mwanafunzi wa darasa la kwanza kipakatalishi kimoja kwa matumizi ya darasani[2].

Kilianza kuuzwa madukani mwaka wa 2014.

Marejeo

hariri
  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-07-07. Iliwekwa mnamo 2017-07-17.
  2. https://medium.com/@kiruik/the-taifa-laptop-saga-could-jkuat-have-designed-the-program-better-9ac1d3665dcc