Takaba ni mji mdogo ulioko kaskazini mashariki mwa Kenya.

Wakati wa sensa ya mwaka 2019 ulikuwa na wakazi 21,517[1].

Pia ni kata ya kaunti ya Mandera, eneo bunge la Mandera Magharibi[2].

Tanbihi

hariri