Takapoto ni kisiwa cha Polinesia ya Kifaransa ndani ya funguvisiwa ya Tuamotu. Kiko upande wa kusini-magharibi wa kisiwa cha Takaroa. Eneo la kisiwa ni 15 km². Mji mkubwa kabisa kisiwani huitwa Fakatopatere. Mwaka wa 2012, idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa 380. Watu wakaao kisiwani kwa Takapoto huongea Kituamotu na Kitahiti.

Kisiwa cha Takapoto
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.