Takayoshi Yoshioka
Takayoshi Yoshioka (吉岡 隆徳, Yoshioka Takayoshi, 2 Juni 1909 – 5 Mei 1984) alikuwa mwanariadha wa Japani ambaye mwaka 1935 alishikilia kwa pamoja rekodi ya dunia ya mita 100 kwa sekunde 10.3. Wanaume wengine wanne walikuwa wametumia sekunde 10.3 mwaka 1935 au mapema zaidi, Takayoshi alikuwa Mwaasia pekee kati yao. Alishiriki katika mashindano mbalimbali ya mbio za kasi katika Michezo ya Olimpiki mwaka 1932 na 1936 na akamaliza wa sita katika mbio za 100m mwaka 1932.[1] Katika kustaafu Yoshioka alifanya kazi kama mkufunzi wa riadha.
Marejeo
haririMakala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Takayoshi Yoshioka kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |