Tanzania Human Rights Defenders Coalition
Tanzania Human Rights Defenders Coalition ni asasi isiyokuwa ya kiserikali nchini Tanzania ambayo imejikita katika kutetea haki za binadamu. [1]
Asasi hiyo hushughulika na kazi tofautitofauti zinazohusu haki za binadamu, kama vile utetezi na uchechemuzi pamoja na kutoa elimu ya haki za binadamu pamoja na kampeni mbalimbali.
THRDC ni asasi ambayo inakusanya wanachama mbalimbali kutoka katika asasi nyingine wenye lengo la kutetea haki za binadamu ikiwemo haki za Wanawake.
Viungo vya Njea
hariri- https://watetezi.co.tz/thrdc-has-signed-a-grant-agreement-with-pact/ Ilihifadhiwa 4 Desemba 2022 kwenye Wayback Machine.
Marejeo
hariri- ↑ Tanzania Human Rights Defenders Coalition
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |