Tarafa za Cote d'Ivoire

Tarafa za Cote d’Ivoire (kwa Kifaransa: Sous-préfectures de Côte d'Ivoire) ni ngazi ya tatu ya ugatuzi. Nchi imegawanywa katika majimbo 14. Mikoa na Wilaya, imegawanywa katika tarafa 509.

Tarafa zilianzishwa kwanza mwaka wa 1961.

TarafaEdit

Kwa sasa kuna tarafa 509.


Viungo vya njeEdit

Tazama piaEdit