Taska Restituta Mbogo

Taska Restituta Mbogo ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Viti maalum vya wanawake kwa miaka 20152020. [1] Amehitimu shahada ya sheria kutoka Chuo Kikuu Huria cha Tanzania [1]

MarejeoEdit

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017