Tauere ni kisiwa cha Polinesia ya Kifaransa ndani ya funguvisiwa ya Tuamotu. Kiko upande wa kaskazini-magharibi wa kisiwa cha Amanu. Eneo la kisiwa ni 2 km². Mwaka wa 2012, idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa watatu tu. Watu wakaao kisiwani kwa Tauere huongea Kituamotu na Kitahiti.

Kisiwa cha Tauere
Sciences de la terre.svg Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.