Edward Theodore "Teddy" Riley (amezaliwa 8 Oktoba, 1967) ni mtunzi wa nyimbo, mwanamuziki, mpiga kinanda, mtumbuizaji na mtayarishaji wa rekodi kutoka nchini Marekani. Huhesabiwa kama mwanzilishi mtindo wa new jack swing.[2] Kupitia kazi zake za utayarishaji na Michael Jackson, Bobby Brown, Doug E. Fresh, Today, Keith Sweat, Heavy D., Usher, Jane Child, na wengineo kibao - vilevile akiwa kama mmoja wa wanakundi wa Guy na Blackstreet, Riley amehesabika kuwa na athira kubwa mno katika uanzishwaji na uboreshaji wa muziki wa contemporary R&B, hip-hop, soul na pop tangu katika miaka ya 1980.

Teddy Riley
Jina la kuzaliwaEdward Theodore Riley[1]
Amezaliwa8 Oktoba 1967 (1967-10-08) (umri 56)
Kazi yakeMtayarishaji wa rekodi
mtunzi wa nyimbo
mwanamuziki
mtumbuizaji
Miaka ya kazi1984–hadi leo
StudioInterscope, Uptown, MCA, DreamWorks
Ameshirikiana naMichael Jackson, Kool Moe Dee, Guy, Blackstreet, MC Hammer, Doug E. Fresh, Bobby Brown, Heavy D. & the Boyz, Today, Snoop Dogg, Girls' Generation, Shinee, Jay Park, f(x), RaNia, EXO, SWV, Patti LaBelle
Teddy Riley

Albumu hariri

Nyimbo zilizotungwa na Teddy Riley hariri

  • The Boys (Girls' Generation-The Boys (2011))
  • Check (Girls' Generation-Lion Heart (2015))
  • Call Me Baby - EXO (2015)
  • Beautiful - EXO (2015)
  • Already (Taemin-Press It (2016))

Marejeo hariri

  1. Hogan, Ed. "Teddy Riley: Biography". Allmusic. allmusic.com. Iliwekwa mnamo March 7, 2014.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. Hogan, Paul. "[Teddy Riley katika Allmusic Teddy Riley biography]" Allmusic Retrieved on September 19, 2009

Viungo vya nje hariri