Tegan Jade Martin (amezaliwa tarehe 7 Septemba 1992) ni mwanamitindo, mtaalamu wa nywele na mshindi wa mashindano ya urembo kutoka Australia ambaye alitawazwa kuwa Miss Universe Australia tarehe 6 Juni 2014 na aliwakilisha nchi yake katika mashindano ya Miss Universe mwaka 2014.[1][2]

Martin mwaka 2015

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tegan Martin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.