Teluri (kutoka kilatini tellus "ardhi") ni nusumetali au metaloidi yenye namba atomia 53 katika mfumo radidia. Uzani atomia ni 127.60.

Teluri (tellurium)
Fuwele ya teluri tupu yenye urefu wa 2 cm
Fuwele ya teluri tupu yenye urefu wa 2 cm
Jina la Elementi Teluri (tellurium)
Alama Te
Namba atomia 53
Mfululizo safu Simetali
Uzani atomia 127.60
Valensi 2, 8, 18, 18, 6
Densiti 6.24 g/cm³
Ugumu (Mohs) {{{ugumu}}}
Kiwango cha kuyeyuka 722.66 K (449.51°C)
Kiwango cha kuchemka 1261 K (988 °C)
Asilimia za ganda la dunia 1 · 10-6 %
Hali maada mango
Mengineyo

Tabia hariri

Telluri ni elementi haba duniani. Ikitokea kwa umbo la fuwele ina rangi nyeupe-kifedha. Ni kechu lakini si gumu sana hivyo huvunjika haraka hadi kuwa vumbi. Hutokea pia kwa umbo la unga kahawia.

Matumizi hariri

Hutumiwa hasa katika aloi mbalimbali na kama nusukipitisho.


  Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Teluri kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.