Tembo chumbani
Tembo chumbani (au tembo sebuleni) [2] [3] ni msemo au nahau ya kisitiari katika lugha ya Kiingereza kwa mada muhimu au kubwa, swali, au suala lenye utata ambalo liko wazi au ambalo kila mtu analijua lakini hakuna anayelitaja au anayetaka kulijadili kwa sababu linaweza kusababisha baadhi yao kukosa raha na linatia aibu kibinafsi, kijamii, au kisiasa, lenye utata, uchochezi, au hatari. Tembo wa sitiari anawakilisha tatizo dhahiri au hali ngumu ambayo watu hawataki kuizungumzia. [4][5] [6]
Marejeo
hariri- ↑ Anon (2023). "An elephant in the room: idiom, informal". cambridge.org. Cambridge University Press.
- ↑ "the elephant in the (living) room | meaning of the elephant in the (living) room in Longman Dictionary of Contemporary English | LDOCE". www.ldoceonline.com. Iliwekwa mnamo 22 Septemba 2020.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "World Wide Words: Elephant in the room". World Wide Words (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 22 Septemba 2020.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ https://dictionary.cambridge.org/dictionary/english/elephant-in-the-room
- ↑ Cambridge University Press. (2009). Cambridge academic content dictionary, p. 298.
- ↑ "Elephant in the room Idiom Definition – Grammarist". Grammarist. 24 Septemba 2015. Iliwekwa mnamo 22 Septemba 2020.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Tembo chumbani kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |