Tepoto ya Kusini ni kisiwa cha Polinesia ya Kifaransa ndani ya funguvisiwa ya Tuamotu. Kiko upande wa mashariki wa kisiwa cha Tahanea. Eneo la kisiwa ni 0.6 km². Wakati wa sensa mwaka wa 2012, hakuna watu wakaao kisiwani kwa Tepoto ya Kusini.

Kisiwa cha Tepoto (Kusini)
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.