Terence Hill (amezalia kama Mario Girotti, tar. 29 Machi 1939) ni mwigizaji wa filamu kutoka nchini Italia. Hill pia aling'aa sana katika filamu za western za kiitalia, maarufu kama spaghetti western.

Terence Hill
Terence Hill katika filamu ya They Call Me Trinity
Terence Hill katika filamu ya They Call Me Trinity
Jina la kuzaliwa Terence Hill
Alizaliwa 29 Machi 1939, Venice, Veneto
Italia
Kazi yake Mwigizaji
Rafiki Bud Spencer
Tovuti Rasmi Ya Terence Hill

Hill alizaliwa 1939 mjini Venice Italia kama mtoto wa mama Mjerumani na baba Mwitalia aliyekuwa mkemia. Wakati wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia familia ikahamia Ujerumani na kuishi katika mji mdogo wa Lommatzsch karibu na Dresden katika jimbo la Saksonia. Aliona kwa mbali maangamizi ya Dresden kutokana na mashambulio ya jeshi la anga la Uingereza ya Februari 1945. Baada ya vita familia ikarudi Italia alipopata nafasi ya kwanza ya kushiriki katika filamu akiwa na umri wa miaka 12. Baada ya masomo ya fasihi kwenye chuo kikuu cha Roma akahamia kabisa uigizaji wa filamu.

Filamu Alizocheza Hill

hariri
  • "Don Matteo" .... Don Matteo (2000-2006)
  • Uomo che sognava con le aquile, L (2006) (TV)
  • Cyberflic (1997)
  • Botte di Natale (1994)
  • Lucky Luke .... Lucky Luke (1993)
  • Renegade (1987)
  • Miami Supercops (1985)
  • Non c'è due senza quattro (1984)
  • Nati con la camicia (1983)
  • Don Camillo (1983)
  • Chi trova un amico, trova un tesoro (1981)
  • Poliziotto superpiù (1980)
  • Io sto con gli ippopotami (1979)
  • Pari e dispari (1978)
  • March or Die (1977)
  • Mr. Billion (1977)
  • Due superpiedi quasi piatti, I (Crime Busters) (1976)
  • A Genius, Two Partners and a Dupe (1975)
  • Altrimenti ci arrabbiamo (1974)
  • Porgi l'altra guancia (1974)
  • My Name Is Nobody|Mio nome è Nessuno, Il (1973)
  • E poi lo chiamarono il magnifico (1972)
  • Vero e il falso, Il (1972)
  • Più forte, ragazzi! (1972)
  • Trinity Is STILL My Name! (1971)
  • Il Corsaro nero (1971)
  • They Call Me Trinity (1970)
  • Collera del vento, La (1970)
  • La Collina degli stivali (1969)
  • Barbagia (1969)
  • Quattro dell'Ave Maria, I (1968)
  • Preparati la bara! (1968)
  • Dio perdona... Io no! (1967)
  • Nibelungen, Teil 2: Kriemhilds Rache, Die (1967)
  • Io non protesto, io amo (1967) (as Mario Girotti)
  • Feldmarescialla, La (1967)
  • Rita nel West (1967)
  • Nibelungen, Teil 1: Siegfried, Die (1966)
  • Old Surehand (1965)
  • Ruf der Wälder (1965)
  • Ölprinz, Der (1965)
  • Schüsse im Dreivierteltakt (1965)
  • Duell vor Sonnenuntergang (1965)
  • Unter Geiern (1964)
  • Winnetou - 2. Teil (1964)
  • Gattopardo, Il (1963)
  • Dominatore dei sette mari, Il (1962)
  • Giorno più corto, Il (1962)
  • Meraviglie di Aladino, Le (1961)
  • Pecado de amor
  • Juke box urli d'amore (1960)
  • Annibal (1960)
  • Cartagine in fiamme (1960)
  • Militare e mezzo, Un (1960)
  • Giuseppe venduto dai fratelli (1960)
  • Maciste nella valle dei re (1960)
  • Padrone delle ferriere, Il (1959)
  • Spavaldi e innamorati (1959)
  • Cerasella (1959) (as Mario Girotti)
  • Anna di Brooklyn (1958)
  • Novelliere: The picture of Dorian Gray, Il (1958) (TV)
  • Primo amore (1958)
  • Spada e la croce, La (1958)
  • Grande strada azzurra, La (1957)
  • Guaglione (1957)
  • Lazzarella (1957)
  • Mamma sconosciuta (1956)
  • Vagabondi delle stelle, I (1956)
  • Vena d'oro, La (1955)
  • Sbandati, Gli (1955)
  • Divisione Folgore (1954)
  • Età dell'amore, L (1953)
  • Voce del silenzio, La (1953)
  • Villa Borghese (1953)
  • Viale della speranza, Il (1953)
  • Vacanze col gangster(1951)

Ona pia

hariri

Marejeo

hariri
  1. http://www.terencehill.it/fc/avv_fattadavoi.html

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Terence Hill kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.