Thabani Kamusoko

Mchezaji soka wa chama cha Zimbabwe

Thabani Scara Kamusoko (amezaliwa Harare, Zimbabwe, 10 Aprili 1987) ni mchezaji wa kandanda katika klabu ya Yanga Sc inayoshiriki ligi kuu ya Tanzania bara.

Thabani Kamusoko anacheza nafasi ya kiungo mkabaji na mchezeshaji.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Thabani Kamusoko kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.