The Applied Physics Laboratory Ice Station 2007 (APLIS07)

The Applied Physics Laboratory Ice Station 2007 (APLIS07) ni maabara ya marekani na Japan ambapo lengo lake ni kuchunguza mabadiliko ya hali ya  hewa ulimwenguni .Inapatikana kilometa 300 kutoka usawa wa (190 mi) kaskazini mwa ghuba ya Prudhoe  (Sagavanirktok), Alaska. Kwa mara ya kwanza kuanzishwa machi 2011[1]. Linamilikiwa na kusimamiwa  na kituo cha utafiti cha kimataifa cha Arctic katika chuo kikuu cha Alaska Fairbanks.

Marejeo

hariri
  1. APLIS 2011: The Applied Physics Laboratory Ice Station -- Station Construction, iliwekwa mnamo 2022-05-07