Ghuba ni hori kubwa ya bahari inayopakana na nchi kavu pande mbili au tatu.

Ghuba ya Mexiko ikionyesha Marekani upande wa kaskazini, Mexiko upande wa magharibi na kusini, kisiwa cha Kuba upande wa mashariki.
Eneo la Bahari ya Shamu ("Red Sea") kati ya Afrika na Uarabuni.

Mara nyingi ghuba hutokana na misogeo ya ganda la dunia inayosababisha maji kujaa nafasi iliyojitokeza.

Baadhi ya ghuba zinazojulikana ni kama vile Ghuba ya Guinea, Ghuba ya Uajemi, Ghuba ya Mexiko au Bahari ya Shamu.

Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.