The Bodyguard
(Elekezwa kutoka The Bodyguard: Original Soundtrack Album)
The Bodyguard: Original Soundtrack Album ni jina la kibwagizo cha filamu chenye jina sawa na hili, iliyotolewa mnamo 17 Novemba 1992. Kutokana na albamu hii, Whitney alikuwa mwanamuziki wa kwanza kuwahi kuuza zaidi ya nakala milioni moja kwenye wiki ya kwanza. Wimbo huu baadaye ilishinda tuzo la Grammy Award for Album of the Year na Recording Industry Association of America ilitunikiwa platinamu 17 mnamo 1 Novemba 1999.[1] Hadi leo, imeuza zaidi ya nakala milioni 44 kote duniani.[2]
The Bodyguard | |||||
---|---|---|---|---|---|
Kasha ya albamu ya The Bodyguard
|
|||||
Studio album ya Whitney Houston | |||||
Imetolewa | 17 Novemba 1992 | ||||
Imerekodiwa | 1991-1992 | ||||
Aina | R&B, Pop | ||||
Urefu | 57:44 | ||||
Lugha | Kiingereza | ||||
Lebo | Arista | ||||
Mtayarishaji | Whitney Houston, Clive Davis | ||||
Tahakiki za kitaalamu | |||||
Wendo wa albamu za Whitney Houston | |||||
|
Mapokezi
haririAlbamu hii inajulikana kwa wimbo "I Will Always Love You". Wimbo huu ulichezwa zana kwenye redio. Single hii ilibaki kuwa namba 1 kwenye chati ya Billboard Hot 100 kwa muda ya wiki 14.[3]
Nyimbo zake
hariri- "I Will Always Love You" - Whitney Houston (Parton)
- "I Have Nothing" - Whitney Houston (Foster/Thompson-Jenner)
- "I'm Every Woman" - Whitney Houston (Ashford/Simpson)
- "Run to You" - Whitney Houston (Friedman/Rich)
- "Queen of the Night" - Whitney Houston (Babyface/Houston/Reid/Simmons)
- "Jesus Loves Me" - Whitney Houston (Caldwell/Winans)
- "Even If My Heart Would Break" - Kenny G featuring Aaron Neville (Golde/Gurvitz)
- "Someday (I'm Coming Back)" - Lisa Stansfield (Devaney/Morris / Stansfield)
- "It's Gonna Be A Lovely Day" - The S.O.U.L. S.Y.S.T.E.M. (Clivillés/Cole/Never/Scarborough/Visage/Withers)
- "(What's So Funny 'Bout) Peace, Love, and Understanding" - Curtis Stigers (Lowe)
- "Theme from The Bodyguard" - Alan Silvestri (Silvestri)
- "Trust in Me" - Joe Cocker featuring Sass Jordan (Beghe/Midnight/Swersky)
Chati na thibitisho
haririChart | Peak position |
Certification | Sales/Shipments |
---|---|---|---|
Australian Albums Chart | 1[4] | 5× Platinum[5] | 350,000[6] |
Austrian Albums Chart | 1[7] | 4× Platinum[8] | 200,000[6] |
Canadian CRIA Albums Chart | 1[9] | Diamond[10] | 1,000,000[10] |
French Albums Chart | 1 | Diamond[11] | 1,385,300[11] |
German Albums Chart | 1 | 3× Platinum[12] | 1,500,000+ |
Italian Albums Chart | 1 | Diamond[5][6] | 810,000[5] |
Japanese Oricon Albums Chart | 1[13] | 2× Million[14][15] | 2,800,000[16] |
Korean International Albums Chart | 1 | Diamond[5][6] | 1,200,000[17][18] |
Norwegian Albums Chart | 1[19] | 4× Platinum[20] | 200,000[20] |
Swedish Albums Chart | 1[21] | Platinum | 343,000[5] |
Swiss Albums Chart | 1[22] | 5× Platinum[23] | 300,000[5] |
UK Albums Chart | 1[24] | 7× Platinum[25] | 2,138,030[26] |
U.S. Billboard 200 | 1[27] | 17 x Platinum[28] | 13,118,000 [29][30]/17,000,000 |
- Singles
Year | Artist | Single | Chati | Namba |
---|---|---|---|---|
1992 | Whitney Houston | "I Will Always Love You" | Adult Contemporary | 1 |
Hot R&B/Hip-Hop Singles & Tracks | 1 | |||
The Billboard Hot 100 | 1 | |||
UK Singles Chart | 1 | |||
1993 | "I Have Nothing" | Adult Contemporary | 1 | |
Hot R&B/Hip-Hop Singles & Tracks | 4 | |||
The Billboard Hot 100 | 4 | |||
UK Singles Chart | 3 | |||
"I'm Every Woman" | The Billboard Hot 100 | 4 | ||
Adult Contemporary | 26 | |||
Hot R&B/Hip-Hop Singles & Tracks | 4 | |||
Hot Dance Music/Club Play | 1 | |||
UK Singles Chart | 4 | |||
"Queen of the Night" | Hot Dance Music/Club Play | 1 | ||
UK Singles Chart | 14 | |||
"Run to You" | Adult Contemporary | 10 | ||
Hot R&B/Hip-Hop Singles & Tracks | 31 | |||
The Billboard Hot 100 | 31 | |||
UK Singles Chart | 15 | |||
Lisa Stansfield | "Someday (I'm Coming Back)" | UK Singles Chart | 10 | |
The S.O.U.L. S.Y.S.T.E.M. | "It's Gonna Be A Lovely Day" | The Billboard Hot 100 | 34 | |
Hot Dance Music/Club Play | 1 | |||
UK Singles Chart | 17 |
Marejeo
hariri- ↑ "Recording Industry Association of America: Diamond Awards". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-12-30. Iliwekwa mnamo 2010-01-21.
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-07-22. Iliwekwa mnamo 2010-01-21.
- ↑ http://www.billboard.com/#/artist/whitney-houston/chart-history/4849
- ↑ "Australian Albums Chart". australian-charts.com. Iliwekwa mnamo 2009-09-10.
- ↑ 5.0 5.1 5.2 5.3 5.4 5.5 "The Bodyguard" is top foreign album in Japan. Billboard Magazine. 16 Oktoba 1993
- ↑ 6.0 6.1 6.2 6.3 "Sales Certification". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-09-13. Iliwekwa mnamo 2009-09-22.
- ↑ "Austrian Albums Chart". austriancharts.at. Iliwekwa mnamo 2009-09-10.
- ↑ http://www.ifpi.at/?section=goldplatin
- ↑ http://jam.canoe.ca/Music/Charts/ALBUMS.html
- ↑ 10.0 10.1 "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-04-21. Iliwekwa mnamo 2010-01-21.
- ↑ 11.0 11.1 "The Bodyguard Soundtrack SNEP Certification". disqueenfrance.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-11-20. Iliwekwa mnamo 2009-09-20.
- ↑ "German Certificantion". musikindustrie.de. Iliwekwa mnamo 2009-09-20.
- ↑ ホイットニー・ヒューストン-リリース-ORICON STYLE-ミュージック "Highest position and charting weeks of The Bodyguard by Whitney Houston". oricon.co.jp. Oricon Style. Iliwekwa mnamo 3 Oktoba 2009.
{{cite web}}
: Check|url=
value (help); Italic or bold markup not allowed in:|publisher=
(help) - ↑ "- List of the albums certified "Million" by the Recording Industry Association of Japan (Januari 1989 - Agosti 2009)" (kwa Japanese). Agosti 2009. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka RIAJ Certified Million Seller Albums chanzo mnamo 2010-11-20. Iliwekwa mnamo 3 Oktoba 2009.
{{cite web}}
: Check|url=
value (help)CS1 maint: unrecognized language (link) - ↑ 社団法人 日本レコード協会|レコード産業界の歴史 1990年~1999年 "- Recording Industry Association of Japan - The History of music recordings industry during the 1990s". riaj.or.jp (kwa Japanese). Recording Industry Association of Japan. Iliwekwa mnamo 3 Oktoba 2009.
{{cite web}}
: Check|url=
value (help)CS1 maint: unrecognized language (link) - ↑ "Newsline...Mariah Carey's "#1's" (p49)". Billboard. 23 Januari 1999. Iliwekwa mnamo 2009-12-28.
{{cite web}}
: Italic or bold markup not allowed in:|publisher=
(help) - ↑ 고경석 (7 Januari 2010). "휘트니 휴스턴, 2월 첫 내한공연 (Whitney Houston; South Korea's first show in Februari.)" (kwa Korean). asiae.co.kr. Iliwekwa mnamo 2010-01-07.
{{cite web}}
: CS1 maint: unrecognized language (link) - ↑ 이언혁 (7 Januari 2010). "휘트니휴스턴 첫 내한공연 '10년만의 정규 월드투어 한국서 시작'(Whitney Houston, Her First World Tour in 10 Years Will Begin in South Korea.)" (kwa Korean). newsen.com. Iliwekwa mnamo 2010-01-07.
{{cite web}}
: CS1 maint: unrecognized language (link) - ↑ "Norwegian Albums Chart". norwegiancharts.com. Iliwekwa mnamo 2009-09-10.
- ↑ 20.0 20.1 "IFPI Norway". ifpi.no. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-01-18. Iliwekwa mnamo 2009-09-10.
- ↑ "SOUNDTRACK / WHITNEY HOUSTON - THE BODYGUARD (ALBUM)". swedishcharts.com. Iliwekwa mnamo 2009-09-22.
- ↑ "SOUNDTRACK / WHITNEY HOUSTON - THE BODYGUARD (ALBUM)". swisscharts.com. Iliwekwa mnamo 2009-09-22.
- ↑ "IFPI Switzerland Searchable Database". ifpi.ch. Iliwekwa mnamo 2009-09-21.
- ↑ http://theofficialcharts.com/
- ↑ [http://web.archive.org/20171006162141/http://www.bpi.co.uk/certifiedawards/search.aspx Ilihifadhiwa 6 Oktoba 2017 kwenye Wayback Machine. |7 x Platinum Certification Saturday, 1 Januari 1994
- ↑ Bill Harris (2006-11-17). "Queen rules - in album sales". Toronto Sun. Iliwekwa mnamo 2009-09-22.
- ↑ http://www.allmusic.com/album/the-bodyguard-r123597
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-09-13. Iliwekwa mnamo 2010-01-21.
- ↑ Gary Trust (2009-08-14). "Ask Billboard: Madonna vs. Whitney: Who's Sold More?". billboard.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-08-26. Iliwekwa mnamo 2009-09-22.
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-09-03. Iliwekwa mnamo 2009-09-03.