Whitney Houston
Whitney Elizabeth Houston (9 Agosti 1963 - 11 Februari 2012) alikuwa mwimbaji maarufu, mcheza filamu na mwanamitindo kutoka nchini Marekani. Whitney ni mshindi wa Tuzo ya Grammy - akiwa kama mwimbaji bora wa pop/R&B, mwigizaji, mtayarishaji wa filamu, mtunzi wa nyimbo na mwanamitindo wa zamani. Anafahamika zaidi kwa kuwa sauti kali yenye nguvu na mvuto.[2] Anafahamika zaidi kwa kupitia wimbo wake wa "I Will Always Love You" na "I Wanna Dance with Somebody" kutoka katika toleo lake la 'The Star Spangled Banner.'
Whitney Houston | |
---|---|
Whitney Houston akiimba kwenye Welcome Home Heroes with Whitney Houston mnamo 1991
| |
Maelezo ya awali | |
Jina la kuzaliwa | Whitney Elizabeth Houston |
Amezaliwa | Agosti 9 1963 Newark, New Jersey, US |
Asili yake | East Orange, New Jersey |
Amekufa | Februari 11, 2012 (umri 48) |
Kazi yake | Mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, mwigizaji, mtayarishaji wa rekodi, mtayarishaji wa filamu, mwanamitindo |
Ala | Sauti, piano |
Aina ya sauti | Mezzo-soprano[1] |
Miaka ya kazi | 1977–2012 |
Studio | Arista |
Tovuti | www.whitneyhouston.com |
Whitney ni mmoja kati ya wasanii wa kike waliopata mafanikio makubwa kabisa katika medani ya muziki. Moja kati ya albamu zake ambazo zilipata kuwa maarufu zaidi ni pamoja na The Bodyguard (Kibwagizo bora kwa mauzo bora kwa miaka yote) na ndiyo albamu yake iliyofanya vizuri kupita zote.
Whitney Houston alifariki mnamo tarehe 11 Februari 2012 katika mazingira ya utata. Mwili wake ulikutwa katika chumba cha hoteli ya Beverly Hilton huko Beverly Hills,California.[12]
Wasifu
haririMaisha ya awali
haririDiskografia
hariri- Studio albamu
- Whitney Houston (1985)
- Whitney (1987)
- I'm Your Baby Tonight (1990)
- My Love Is Your Love (1998)
- Just Whitney (2002)
- I Look to You (2009)
Marejeo
hariri- ↑ Dean, Maury (2003). Rock-N-Roll Gold Rush. Algora Publishing. uk. 34. ISBN 0875862071.
{{cite book}}
: Cite has empty unknown parameter:|coauthors=
(help) - ↑ Caramanica, Jon (2012-02-12), "A Voice of Triumph, the Queen of Pain", The New York Times (kwa American English), ISSN 0362-4331, iliwekwa mnamo 2022-10-20
Viungo vya nje
hariri- Official website
- Whitney Houston at the Internet Movie Database
- Whitney Houston Archived 25 Agosti 2009 at the Wayback Machine. at Rolling Stone
- UnOfficial Whitney Houston Fan Site
Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Whitney Houston kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |