The Headies Award for Next Rated

Tuzo ya (Headies for Next Rated) ni tuzo iliyotolewa katika T(he Headies), sherehe ambayo ilianzishwa mwaka wa 2006 na awali iliitwa Tuzo za Dunia za Hip Hop. [1]Ilitolewa kwa mara ya kwanza kwa (Aṣa) mwaka wa 2006. [2] Kando na kupokea bango la tuzo, wapokeaji wa tuzo ya (Next Rated) hupewa zawadi za (SUV) baadaye.[3][4]

Mnamo 2022, (The Headies) ilitangaza kuwa kitengo cha (Next Rated) kuanzia sasa kitapokea (Bentley Bentayga) mpya kabisa ya 2022, yenye thamani ya zaidi ya milioni 78, badala ya SUV[5]

Marejeo

hariri
  1. https://www.bellanaija.com/2018/04/12th-headies-full-list-nominees/
  2. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-03-09. Iliwekwa mnamo 2022-05-07.
  3. https://www.dstv.com/en-tz
  4. http://pmnewsnigeria.com/2011/10/26/2011-the-headies-2face-darey-mi-others-win-multiple-awards/
  5. https://guardian.ng/saturday-magazine/headies-goes-to-usa-for-15th-edition/