The Supremes
The Supremes lilikuwa kundi la waimbaji wa kike kutoka nchini Marekani. Kundi lilikuwa kiungo kikubwa kwa studio ya Motown Records kunako miaka ya 1960.
The Supremes | |
---|---|
The Supremes: Diana Ross (kushoto), Mary Wilson (kati), Florence Ballard (kulia) mnamo mwaka wa 1965
| |
Maelezo ya awali | |
Pia anajulikana kama | The Primettes; Diana Ross & the Supremes |
Asili yake | Detroit, Michigan, Marekani |
Aina ya muziki | Pop, R&B, soul, psychedelic soul, Motown, doo-wop, disco |
Miaka ya kazi | 1959–1977 |
Studio | Lu Pine (Primettes), Motown (Supremes) |
Ame/Wameshirikiana na | The Temptations, Four Tops, The Marvelettes |
Wanachama wa zamani | |
Florence Ballard Diana Ross Mary Wilson Betty McGlown Barbara Martin Cindy Birdsong Jean Terrell Lynda Laurence Scherrie Payne Susaye Greene |
Awali lilianzishwa likiwa na jina la The Primettes huko mjini Detroit, Michigan, kunako 1959, midundo yao The Supremes ilikuwa pamoja na doo-wop, pop, soul, tuni za maonesho ya Broadway, psychedelic soul, na disco. Lilikuwa kundi lililopata mafanikio makubwa kibiashara kwa Motown, hadi leo, kundi la Kimarekani lililopata mafanikio zaidi[1] likiwa na vibao 12 vilivyoshika nafasi ya kwanza kwenye chati za Billboard Hot 100.
Vibao vikali vingi vilivyotungwa na kutayarishwa na kikosi kikubwa cha utunzi na utayarishaji wa muziki cha Motown, Holland–Dozier–Holland. Wakati wa kilele chao katikati mwa miaka ya 1960, The Supremes walishindana vya kutosha na The Beatles kwa umaarufu dunia nzima,[2] na mafanikio yao yameleta uwezekano wa baadaye kwa wanamuziki wa R&B na soul wa Kiafrika-Kiamerika kupata mafanikio sawa.
Filmografia
hariri- T.A.M.I. Show (1965) (filamu ya tamasha)
- Beach Ball (1965)
Tanbihi
hariri- ↑ Bronson, Fred: The Billboard Book of Number 1 Hits, page 265. Billboard Books, 2003.
- ↑ Unterberger, Richie. "The Supremes". Allmusic. Retrieved on 4 Julai 2008.
Marejeo
hariri- Adrahtas, Thomas. A Lifetime to Get Here: Diana Ross: the American Dreamgirl. AuthorHouse, 2006. ISBN 1-4259-7140-7
- Benjaminson, Peter. The Lost Supreme: The Life of Dreamgirl Florence Ballard. Chicago: Chicago Review Press, Novemba 2007. 75-79. ISBN 1-55652-705-5
- Chin, Brian & Nathan, David. Reflections Of... The Supremes [CD boxed set liner notes]. New York: Motown Record Co./Universal Music, 2000.
- Clinton, Paul. "Diana Ross' tour excludes old partner, friend Ilihifadhiwa 19 Machi 2005 kwenye Wayback Machine.". CNN.com, 20 Aprili 2000.
- Gans, Andrew. "Foxx and Usher to Join Beyonce for Dreamgirls Film". Playbill, 12 Mei 2005.
- Mary Wilson: An Interview Supreme by Pete Lewis, 'Blues & Soul' May 2009 Ilihifadhiwa 23 Septemba 2015 kwenye Wayback Machine.
- Nathan, David. The Soulful Divas: Personal Portraits of over a Dozen Divine Divas. New York: Billboard Books/Watson-Guptill Publications, 2002. ISBN 0-8230-8430-2.
- Posner, Gerald. Motown: Music, Money, Sex, and Power. New York: Random House, 2002. ISBN 0-375-50062-6.
- Wilson, Mary & Romanowski, Patricia. Dreamgirl & Supreme Faith: My Life as a Supreme. New York: Cooper Square Publishers, 1986. ISBN 0-8154-1000-X.
Soma zaidi
hariri- George, Nelson. Where Did Our Love Go: The Rise and Fall of the Motown. London: Omnibus Press, 1985. ISBN 0-7119-9511-7.
- Ross, Diana. Secrets of a Sparrow: Memoirs. New York: Random House, 1993. ISBN 0-517-16622-4.
- Taraborrelli, J. Randy. Diana Ross: An Unauthorized Biography. London: Sidgwick & Jackson, 2007. ISBN 978-0-283-07017-4.
- Ribowsky, Mark. "The Supremes: A Saga of Motown Dreams, Success, and Betrayal". New York: Da Capo Press, 2009. ISBN 0-306-81586-9.
- Wilson, Mary. Dreamgirl, My Life as a Supreme. New York: St. Martin's Press, 1986. ISBN 0-312-21959-8
Tazama pia
haririViungo vya nje
hariri- The Primettes katika All Music Guide
- The Supremes katika All Music Guide
- Diana Ross & The Supremes katika All Music Guide