The Woman's World ni jarida la wanawake la Kipindi cha malkia Viktoria lililochapishwa na Cassell kati ya mwaka 1886 na [1]1890.

Oscar Wilde alikuwa mhariri wake kati ya mwaka 1887 na 1889, na Ella Hepworth Dixon kuanzia mwaka 1888.[onesha uthibitisho]

Marejeo

hariri
  1. (Clayworth, 1997:85)

Viungo vya nje

hariri
  •   media kuhusu The Woman's World pa Wikimedia Commons
  • Wilde, Oscar (1887). The Woman's World, 1897–1890. Juz. la 3 vols. London: Cassell & Co. ku. 3 v.