Thea Ntara

mwanasiasa wa tanzania

Thea Medard Ntara (alizaliwa katika Mkoa wa Iringa), ni msomi na mwanasiasa kutoka Tanzania,na mwanachama wa chama cha siasa cha Chama Cha Mapinduzi. [1] Ntara alichaguliwa kama mwakilishi wa wanawake wa Viti Maalum akihudumu kama mbunge tangu mwaka 2020. [2]

Marejeo hariri

  1. "Wasifu wa Bunge la Tanzania". Bunge la Tanzania. 
  2. "Hon. Thea Medard Ntara". Bunge la Tanzania. 
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Thea Ntara kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.