Thelonious Monk
Thelonious Monk (10 Oktoba 1917 – 17 Februari 1982) alikuwa mwanamuziki wa Marekani. Alikuwa anapiga muziki ya jazz. Mwaka wa 2006 alituzwa tuzo maalumu ya Tuzo ya Pulitzer ya Muziki kwa kazi ya maisha yake, yaani baada ya kifo chake.
Thelonious Monk | |
---|---|
Theolonious, akiwa mjini New York, mnamo 1947
| |
Maelezo ya awali | |
Jina la kuzaliwa | Thelonious Sphere Monk |
Amezaliwa | Oktoba 10, 1917 |
Kazi yake | Mwimbaji |
Ala | Piano |
Miaka ya kazi | 1940–1973[1] |
Studio | Columbia Records |
Ame/Wameshirikiana na | Milt Jackson, Miles Davis, Sonny Rollins, Oscar Pettiford, John Coltrane, Art Blakey |
Tovuti | monkzone.com |
Muziki
haririViungo vya nje
hariri
Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Thelonious Monk kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
- ↑ Yanow, Scott. "Thelonious Monk". AllMusic. Iliwekwa mnamo 2012-03-31.