Theobald A. Mvungi

Theobald A. Mvungi ni mwandishi nguli wa vitabu vya fasihi ya Kiswahili hususani ushairi. Mwandishi huyu amevuma sana kwa kazi yake ya kifasihi inayofahamika kwa jina maarufu kama vile Chungu Tamu ambacho ni kitabu cha mashairi zaidi ya 30.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Theobald A. Mvungi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.