Theodosius II (10 Aprili, 40128 Julai, 450) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma Mashariki kuanzia 1 Mei, 408 hadi kifo chake. Alimfuata baba yake, Arkadius.

Kaizari Theodosius II

Tazamia pia hariri

  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Theodosius II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.