Arcadius (377 au 378 – 1 Mei 408) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma Mashariki kuanzia 17 Januari, 395 hadi kifo chake.

Kaizari Arcadius

Alimfuata baba yake, Theodosius Mkuu. Kaka yake, Honorius, alikuwa Kaizari wa Dola la Roma Magharibi.

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Arcadius kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.