These Hands

(Elekezwa kutoka These hands)

These Hands ni filamu ya Kitanzania ya mwaka 1992 iliyoandaliwa katika maandishi na kuongozwa na Flora M'mbugu-Schelling.[1][2].

Muundo

hariri

Filamu ilionyesha upambanaji wa wanawake wa Msumbiji ambao ni wachimbaji wadogowadogo wa madini, waliamua kuleta utofauti licha ya changamoto zote zilizokuwepo.[3][4].

Marejeo

hariri
  1. "These Hands | Kanopy". www.kanopy.com. Iliwekwa mnamo 2019-11-03.
  2. "taylorfrancis". www.taylorfrancis.com. doi:10.4324/9781315097534-24. Iliwekwa mnamo 2019-11-03.{{cite web}}: CS1 maint: url-status (link)
  3. These Hands (kwa Kiingereza), ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-11-12, iliwekwa mnamo 2019-11-03 {{citation}}: Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help)
  4. "California Newsreel - THESE HANDS". newsreel.org. Iliwekwa mnamo 2019-11-03.
  Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu These Hands kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.