Thoma wa Shenshif
Thoma wa Shenshif anakumbukwa kama mkaapweke wa Kikristo nchini Misri[1].
Anaheshimiwa na Wakopti tangu zamani sana kama mtakatifu, mmoja kati ya wamonaki wa kwanza.
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ "Our Patron Saint". St. Thomas The Hermit Coptic Orthodox Church (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-11-25. Iliwekwa mnamo 2015-11-23.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |