Thomas Ulimwengu

Mwanasoka wa Tanzania

Thomas Emmanuel Ulimwengu (amezaliwa 14 Juni 1993) ni mchezaji mpira wa miguu kutoka nchini Tanzania, ambaye kwa sasa anaichezea timu ya Tanzania Soccer Academy na pia huichezea timu ya taifa ya Tanzania na timu ya Taifa U-20 ya Tanzania, yaani, chini ya miaka 20.

Thomas Ulimwengu
Maelezo binafsi
Jina kamili Thomas Emmanuel Ulimwengu
Tarehe ya kuzaliwa
Mahala pa kuzaliwa    Tanga, Tanzania
Nafasi anayochezea Mshambuliaji
Maelezo ya klabu
Klabu ya sasa Tanzania Soccer Academy
Namba 11
Klabu za vijana
2008-2010 Tanzania Soccer Academy
Klabu za ukubwani
Miaka Klabu
2009-2010 Moro United
Timu ya taifa
2009-2010 Tanzania

* Magoli alioshinda

Timu ya taifa ya Tanzania U-17Edit

Katika mashindano ya Cecafa 2009 U-17 Championship yaliyofanyika Sudan alijinyakulia ubingwa wa mfungaji bora katika mashindano hayo. Timu yake ya taifa ya Tanzania ilichukua nafasi ya Tatu katika mashindano hayo.

Viungo vya njeEdit