Thuto Ramafifi
Thuto Oaboloka Ramafifi (amezaliwa tarehe 9 Januari mwaka 1992) ni mchezaji wa soka wa Botswana anayecheza kama mshambuliaji.[1]
Maisha
haririRamafifi alikuwa akicheza netiboli akiwa mdogo.[2]
Elimu
haririRamafifi alihudhuria Shule ya Upili ya Ledumang nchini Botswana.[3]
Kazi katika ngazi ya Klabu
haririRamafifi amekuwa mfungaji bora wa NCAA Division II akiwa na magoli ishirini na sita.[4]
Kazi katika ngazi ya Kimataifa
haririRamafifi alicheza katika timu ya taifa ya wanawake ya soka ya Botswana kwa ajili ya kufuzu kwa 2022 Women's Africa Cup of Nations qualification.[5]
Nafasi ya Uchezaji
haririRamafifi kwa kawaida anacheza kama mshambuliaji na ameelezwa kama "akichukua mtindo wake wa kucheza kutoka kwa mwana-ikoni wa Kireno Cristiano Ronaldo.[6]
Kazi ya Ufundi
haririRamfifi alihudhuria kozi ya awali ya ufundi ya FIFA Namibia na kozi ya ufundi ya Premier Skills nchini Botswana.[7]
Maisha ya Kibinafsi
haririRamfifi ni mzaliwa wa Gaborone, Botswana.[8]
Marejeo
hariri- ↑ "From Dusty Grounds To USA with 'Thuto'". thegazette.news.
- ↑ "Ramafifi's long walk from Ledumang to Georgia". thepatriot.co.bw.
- ↑ "Ramafifi has made scoring look simple". mmegi.bw.
- ↑ "RAMAFIFI BANGING GOALS IN AMERICA". Killer Pass.
- ↑ "Ramafifi Returns For Mares". mmegi.bw.
- ↑ "Ramafifi flying high". The Voice.
- ↑ "Ramafifi to miss COSAFA Women's Championship".
- ↑ "Spotlight: Thuto Ramafifi".
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Thuto Ramafifi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |