Tim Feehan (alizaliwa Edmonton, Alberta, 27 Aprili, 1957) ni mtunzi wa nyimbo, mtayarishaji, mchanganyaji na mmiliki wa studio katika eneo la Los Angeles kutoka Kanada.[1][2]

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tim Feehan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.