Times Tower

Jengo la kiofisi jijini Nairobi, Kenya

Times Tower (au New Central Bank Tower) ni jengo la tatu kwa urefu jijini Nairobi, Kenya, ukifikia mita 140 kutoka ardhini[1] .

Jengo lilivyo.

Tanbihi

hariri

Viungo vya nje

hariri