Tiny Chotelo
Mwanasiasa wa Afrika ya Kusini
Cukelwa Magdeline Chotelo (anayejulikana kama Tiny Chotelo; alizaliwa 5 Machi 1962) ni mwanasiasa wa Afrika Kusini. Mwanachama wa African National Congress na pia alichaguliwa kuwa mbunge wa Jimbo la Cape Kaskazini mwaka wa 2009•
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Tiny Chotelo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |