Ziwa Titicaca liko kwenye Altiplano ya Andes kati ya Peru na Bolivia.

Ziwa Titicaca
Ziwa Titicaca kutoka angani.

Ni ziwa kubwa la pili katika Amerika Kusini lenye eneo la kilomita za mraba 8,372. Liko kwenye kimo cha mita 3,809 juu ya UB. Maji yake yana kina cha mita 105, Hivyo ni ziwa la juu duniani lenye usafiri wa meli ndogo; kuna pia manowari ya jeshi la majini.

Mito 25 inaingia ziwani. Kuna visiwa vingi.

Picha za Titicaca

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Amerika Kusini bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Titicaca (ziwa) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.