Tokushima, Tokushima

Japani, mji mkuu wa Jimbo la Tokushima

Tokushima (徳島市) ndiyo mji mkuu katika mkoa wa Tokushima. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao 264 000 wanaoishi katika mji huu.

Mji wa Tokushima
Tokushima
Faili:Flag of .png
Bendera
Nchi Japani
Kanda Shikoku
Mkoa Tokushima
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 264,507
Tovuti:  www.city.tokushima.tokushima.jp

Tazama pia

hariri

Viungo vya nje

hariri
 
WikiMedia Commons
  Makala hii kuhusu maeneo ya Japani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Tokushima, Tokushima kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.