Tom Rothe
Mchezaji wa chama cha soka cha Ujerumani
Tom Alexander Rothe (alizaliwa 29 Oktoba 2004)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ujerumani, ambaye anacheza kama beki katika klabu ya Holstein Kiel akitokea Borussia Dortmund inayoshiriki Bundesliga ya Ujerumani kwa mkopo.
Marejeo
hariri- ↑ "Tom Rothe". worldfootball.net (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-06-29.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Tom Rothe kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |