Tommy Vercetti

Tommy Vercetti ni mhusika mkuu na wa kubuniwa katika mchezo wa 2002 wa Grand Theft Auto Vice City, mchezo uliopo katika mfululizo wa Grand Theft Auto uliotengenezwa na Rockstar Games.

Ray Liotta, muigizaji ambaye alitoa sauti kwa Tommy Vercetti, kwenye Tamasha la Filamu la Amerika la Deauville 2014

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Tommy Vercetti kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.