Tonj (jimbo)
Jimbo la Tonj, Sudani kusini
Tonj State ni mojawapo kati ya majimbo 32 yanayounda Sudan Kusini.
Tonj State | |
Mahali pa Tonj katika Sudan Kusini | |
Nchi | Sudan Kusini |
---|---|
Makao makuu | Tonj |
Idadi ya kaunti | 22 |
Idadi ya manispaa | 1 |
Serikali | |
- Gavana | Anthony Bol Madut |
Idadi ya wakazi (Kadirio la 2014) | |
- Wakazi kwa ujumla | 448,950 |
Imegawanyika katika kaunti 22 (nyingi kuliko jimbo lolote), mbali na manispaa ya Tonj[1].
Kaunti hizo ni:
- Alabek County
- Konggor County
- Akop County
- Awul County
- Rualbet County
- Lou Paher County
- Warrap County
- Manloor County
- Kirik County
- Pagol County
- Luanyjang South County
- Luanyjang North County
- Luanyjang Centre County
- Luanyjang East County
- Ngapagok County
- Jak County
- Manyang-Ngok County
- Wanhalel County
- Thiet County
Tanbihi
hariri- ↑ Atekdit, Ariik (28 Juni 2016). "Tonj State Governor Appoints Commissioners For 19 Counties". Gurtong. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-04-21. Iliwekwa mnamo 14 Agosti 2016.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Tonj (jimbo) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |