Marvin Bernard (Amezaliwa tar. 31 Machi 1978), anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii Tony Yayo, ni mwanamuziki wa rap kutoka nchini Marekani, pia ni mmoja kati ya mwanakundi la G-Unit.

Tony Yayo

Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa Marvin Bernard
Amezaliwa 31 Machi 1978 (1978-03-31) (umri 46)
Asili yake New York, Marekani
Kazi yake Mwimbaji-mtunzi-wa-nyimbo, rapa,
Miaka ya kazi 1999 hadi leo
Studio G-Unit Records (2003–hadi leo)
Interscope (2003–2009)
G-Unit Philly (2009–hadi leo)
EMI(2010–hadi leo)


Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tony Yayo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.