G-Unit
G-Unit ni kundi la muziki wa hip hop nchini Marekani lenye asili yake kamili kutoka mjini New York City. G-Unit walianza kuiteka eneo la New York ni baada ya kutoa tepu zap kadhaa mchanganyiko. Jina hili la kikundi ni kifupi cha kutaja neno Guerilla Unit na vilevile kama Gangsta Unit.[1]
G-Unit | |
---|---|
| |
Maelezo ya awali | |
Asili yake | New York City |
Aina ya muziki | Hip hop |
Miaka ya kazi | 2002–hadi leo |
Studio | G-Unit, Interscope |
Ame/Wameshirikiana na | Dr. Dre, Eminem, Wasanii wa G-Unit Records, DJ Whoo Kid, Snoop Dogg |
Tovuti | www.g-unitsoldier.com |
Wanachama wa sasa | |
50 Cent Lloyd Banks Tony Yayo | |
Wanachama wa zamani | |
The Game Young Buck |
Wasifu
haririMaisha ya awali
haririKundi lilianzishwa na na wanachama kama, 50 Cent, Lloyd Banks, na Tony Yayo ambao wote walikulia katika nyumba moja, walirapa na waliuza dawa za kulevya pamoja[2].. Wakati 50 Cent alipojipanga na kuingia mkataba studio fulani, wote Lloyd Banks na Tony Yayo wakawa wana fanya kazi za kutoa tepu zao mchanganyiko kwa bidii ili waweze kujipatia mwamko wao wenyewe. Baadaye 50 Cent aliachia ngazi katika studio ni baada ya kutandikwa risasi mara tisa mbele ya nyumba ya bibi yake mzaa mama.[3][4] Kwa upande wao, wakawa wanamwona mwenzao amezongwa na matatizo kibao.
Muziki
haririAlbamu zao
hariri- 2003: Beg for Mercy
- 2008: T.O.S: Terminate on Sight
Tuzo
hariri- Tuzo za Vibe
- 2004 - Kundi Bora - G-Unit
- Tuzo za AVN
- 2005 - Toleo Bora la DVD - Groupie Love
- 2005 - Muziki Bora - Groupie Love by Lloyd Banks
Marejeo
hariri- ↑ Williams, Houston; Diva, Amanda (12 Aprili 2005). "50 Cent’s Ideal World Is "Peaceful", Rapper Explains Gorilla Unit Archived 5 Novemba 2007 at the Wayback Machine.. AllHipHop. Accessed 29 Julai 2007.
- ↑ Tony Yayo, in an interview, explains their past. G-Unit Soldier. Accessed 16 Julai 2007
- ↑ Touré (3 Aprili 2003).The Life of a Hunted Man Archived 5 Mei 2009 at the Wayback Machine.. Rolling Stone. Accessed 29 Julai 2007.
- ↑ Adam Matthews (24 Mei 2000). SOHH Exclusive: "50 Cent Shot in New York". SOHH. Accessed 18 Septemba 2007.
Viungo vya nje
hariri- Official 50 Cent website Archived 2 Desemba 2008 at the Wayback Machine. on Ning (registration required}
- Official G-Unit site
- G-Unit katika All Music Guide
- G-Unit katika MySpace
- G-Unity Foundation Archived 7 Novemba 2006 at the Wayback Machine.