Torit ni mji wa Sudan Kusini, jimbo la Equatoria Mashariki.
Idadi ya watu wake ilikadiriwa kuwa 20,050 mwaka 2010.