Trier
Trier (Kilatini: Augusta Treverorum) ni mji wa Rhine-Palatino nchini Ujerumani. Iko kando ya mto Mosel. Idadi ya wakazi wake ni takriban 104,587. Mji ulianzishwa 16 KK.
Trier | |||
| |||
Mahali pa mji wa Trier katika Ujerumani |
|||
Majiranukta: 49°46′0″N 6°39′0″E / 49.76667°N 6.65000°E | |||
Nchi | Ujerumani | ||
---|---|---|---|
Jimbo | Rhine-Palatino | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 104,587 | ||
Tovuti: www.trier.de |
Tazama pia
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Trier kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |