Troli wa mtandaoni

Kwenye misemo ya mtandaoni, troli ni mtu anayeanzisha ugomvi au anayekasirisha watu kwa kutoa maoni yanayovuruga majadiliano na kugombanisha watu.[1] kwenye majukwaa ya mtandaoni, vyumba vya majadiliano, au blogu kwa nia ya kuchokoza wasomaji.[2]

Miaka ya karibuni vyombo vya habari vimelinganisha tabia hiyo na unyanyasaji wa mtandaoni.

MatumiziEdit

Kama ilivyoandikwa kwenye makala toka OS News iliyoitwa "Why People Troll and How to Stop Them" (25 January 2012), tafsiri ya troli inajumuisha nia ya mtu lakini tafsiri hii si sahihi, maana hata kama mtu ana nia ya kuchokoza au la, matokeo ni yaleyale.[3]

MarejeoEdit

  1. Definition of troll. Collins English Dictionary. Iliwekwa mnamo 17 September 2012.
  2. "Definition of: trolling", PCMAG.COM, Ziff Davis Publishing Holdings Inc. Retrieved on 24 March 2009. Archived from the original on 2013-03-15. 
  3. Fosdick, Howard. "Why People Troll and How to Stop Them", 25 January 2012. 

Soma piaEdit

  • Walter, T.; Hourizi, R.; Moncur, W.; Pitsillides (2012). Does the Internet Change How We Die And Mourn? An Overview Online.

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:

Utetezi na usalamaEdit

Tafsiri na historiaEdit

MijadalaEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Troli wa mtandaoni kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.