Majadiliano

Majadiliano (kutoka kitenzi chenye asili ya Kiarabu "kujadili") ni kitendo cha kupeana mawazo chanya baina ya watu wawili au zaidi. Kwa mfano: majadiliano kuhusu maisha.

Mara nyingi majadiliano hufanywa kwenye kikundi cha watu wawili au zaidi ili kutatua jambo au kuongeza ujuzi wa jambo fulani.