Trondheim
manisipaa ya Trøndelag katika Norwei
Trondheim (kwa Kisaami cha Kusini: Tråante) ni manispaa na mji wa Sør-Trøndelag, jimbo la Norwei. Mji una wakazi 198,219 (mnamo Oktoba 2019). Trondheim ni mji mkubwa wa tatu nchini Norwei.
Trondheim | |||
| |||
Mahali pa Trondheim katika Norwei |
|||
Majiranukta: 63°25′47″N 10°23′36″E / 63.42972°N 10.39333°E | |||
Nchi | Norwei | ||
---|---|---|---|
Jimbo | Sør-Trøndelag | ||
Serikali | |||
- Aina ya serikali | Manispaa | ||
- Meya | Rita Ottervik (Ap) | ||
Eneo | |||
- Jumla | 342.26 km² | ||
- Kavu | 324.16 km² | ||
- Maji | 18.1 km² | ||
Idadi ya wakazi (2019) | |||
- Wakazi kwa ujumla | 198,219 |
Trondheim ni mji mkuu wa jimbo la Sør-Trøndelag. Vyuo vikuu vya NTNU na Høgskolen i Sør-Trøndelag (HiST) viko Trondheim.
Makala hii kuhusu maeneo ya Norwei bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Trondheim kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |