Tsai Ing-wen

Rais wa Taiwan (mamlaka za R.O.C.) na Mwenyekiti wa zamani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo

Tsai Ing-wen (amezaliwa 31 Agosti 1956) ni mwanasiasa na mwanasayansi wa Taiwan anayehudumu kama rais wa saba wa Jamhuri ya Uchina, tangu mwaka 2016.

Picha yake